Youtube videosMziki

Savara – Balance | Video

Savara – Balance ndio Kazi mpya aliyoachiwa. Savara ni mmoja wa sauti sol na kwa mda kila mmoja amekuwa akifanya Kazi kivyake. Sio eti wametengana ila kwa sasa wameamua kuachia kazi za binafsi. Kwa sasa kila mmoja wa kikundi cha sauti sol ameachia Kazi zake.

Sauti Sol ni wasanii wanaojulikana sana ulimwengu mzima na nyimbo zao zinachezwa kwenye channel tofauti ulimwengu mzima. Kumbuka wasanii hawa waliwahi kushirikiana na burna boy kwa kuandika nyimbo na ikashinda kwenye Grammy awards.

Ili kuitazama video ya Savara – Balance, bonyeza link ifuatayo uwezo kufurahia mziki mzuri kutoka kwa Gwiji huyu wa kikundi cha sauti sol.

Tazama hii pia ya fancy fingers – Rhumba Toto

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *