Sanaa

Ibraah ft. Harmonize – One Night Stand | Video mpya

Ibraah ft. Harmonize – One Night Stand ndio homa mpya mtaani. Ni video kali sana iliyoachiliwa mda sio mrefu. Kiwango chake ni cha hali ya juu na kusema kweli Hanscana amefanya kazi safi sana. Ibraah ako na talanta na hapa Harmonize hakupoteza alimpomchagua kijana huyu kwenye kikosi chake.

Ibraah ft. Harmonize - One Night Stand

Sio wengi walidhania hawa wawili wangeachia kazi pamoja ila kwa sasa ni wazi harmonize ameamua kuinua huyu kijana. Kumbuka Diamond platnumz naye ana msanii wake kwa jina Zuchu ambaye pia yuaja kwa kasi sana ila kusema kweli hii colabo ya Ibraah ft. Harmonize – One Night Stand ni kubwa sana na natumai diamond platnumz ameitazama. Video hiiĀ inaendelea ku trend nchini Tanzania, Kenya na Uganda

Ibraah ft. Harmonize - One Night Stand

Ili uwe wa kwanza kutazama hii video mpya ya Ibraah ft. Harmonize – One Night Stand , Bonyeza hapo chini na bila shaka utaupata utamu zaidi. Kama utaikubali basi nipe maoni yako ili niweze kujua kama hii kazi umeikubali au la!

Ibraah ft. Harmonize – One Night Stand

Soma hii pia ( Jinsi ya kujua mwanamke anakupenda)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *