Ibraah -Jipinde
Ibraah -Jipinde ndio nyimbo mpya ya ibraah na kusema kweli ni nyimbo kubwa sana. Ibraah amekaa kwa mda kabla ya kuachia nyimbo na labda alikuwa akimpa nafasi Anjela naye aweze kupigania kilicho chake katika Sanaa ya mziki.
Kwa Mara ya kwanza Fanya kuisikiza Ibraah -Jipinde hapa mwangaza news na unaweza ukatupa comments yako hapo chini.
Jipinde – Ibraah ( download mp3 here
Tazama video ya jipinde yake ibra hapa
8,525 total views, 1 views today