Mziki

Zuchu – Yalaaaa | Audio

Zuchu – Yalaaaa  ndio mpango mzima. Baada ya nyumba Ndogo, Zuchu ameamua kuja na mtindo mpya na kwa sasa ameingia maeneo ya Mbosso kwa kiasi chake.

Zuchu – Yalaaaa imeachika Leo na ukiisikiza kwa makini basi utaelewa kuwa producer wake aligeuza mziki wa zuchu kiasi. Labda anajaribu kama mtindo huu mpya kama utafanya Kazi.

Kwa Mara ya kwanza pata kuisikiza nyimbo ya Zuchu – Yalaaaa hapa mwangaza news.

Zuchu Yalaaaa mp3 ( download here)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *