Youtube videosMziki

Ibraah – Rara yafikisha views laki tatu kwa mda wa 55mins

Ni maajabu na pia nadhani sio jambo la kawaida. Baada ya ibraah kuachia video yake Rara, maajabu yamefanyika. Kwa mda wa dakika 55, video hii imefikisha views laki tatu. Tazama screen shot hapa

Rara ibraah views

Swali ni Je, hii inawezekana?, Kulingana na wanaoelewa mtandao wa YouTube, ni vigumu sana na huenda nayeshughulikia YouTube katika label ya konde music amegharamikia hizo views. Nafikiri haijawahi fanyika hata kwa harmonize mwenyewe.

Tazama video ya Ibraah – Rara kabla haijafikisha bilioni kwa kubonyeza link ifuatayo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *