Youtube videosMziki

Video | Diamond Platnumz Ft Zuchu – Mtasubiri

Baada ya kungoja kwa mda, video ya Diamond Platnumz Ft Zuchu – Mtasubiri, iko hewani na unaweza ukaipata hapa mwangaza news.

Kama kawaida video zake diamond platnumz ni ya hali ya juu na hana mpinzani. Video hii imeongozwa na Ivan na bilashaka ameitendea haki.

Tazama video ya Diamond Platnumz Ft Zuchu – Mtasubiri kwa kubonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *