Youtube videosMziki

Video | Diamond Platnumz – Wonder

Diamond Platnumz – Wonder ndio mpango mzima. Japo ni mwezi mtufukufu wa ramadhan, Diamond platnumz ameshindwa kuvumilia na kuamua kuachia video ya Wonder iliyofanyiwa nchini Nigeria. Ni video iliyofanyika na ubora wa hali ya juu. Ili kuitazama video ya Diamond Platnumz – Wonder, bonyeza link ifuatayo

Video: Diamond Platnumz – Wonder

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *