Youtube videosMziki

YouTube channel ya diamond platnumz yatolewa

Kwa sasa itakuwa vigumu sana kuzipata video za diamond kwenye YouTube kwani channel yake imefutwa. Habari zaidi zinasema hii ilifanyika Leo tarehe 25 April 2022 baada ya kile kisemekana ukiaukaji wa Sheria za mtandao wa YouTube.

Hii ni hasara kubwa kwa msanii huyu kwani yeye ndiye aliyekuwa na subscribers wengi bara la Africa. Timu yake ipo mbioni kujaribu kuirudisha channel ya diamond platnumz. Kama itakuwa vigumu kuipata, basi itabidi diamond platnumz kuanza upya channel nyengine.

YouTube channel ya diamond platnumz imekuwa ikiingiza hela ndefu kwa msanii huyu na najua kwa sasa ana hesabu hasara. Tunamuombea diamond platnumz na timu yake waweze kuipata tena ili waendelee na burudani zaidi. Zidi kutegea hapa mwangaza news kwa mengi zaidi.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *