MchipukoSiasa

Je, William Ruto ana nafasi ndani ya jubilee?

Kama umekuwa ukifuatilia siasa, utakubaliana nami kuwa naibu wa rais William Ruto ametengwa ndani ya serikali ya jubilee.

Wakati rais Uhuru Kenyatta alipoiitisha mkutano wa jubilee party na kikundi Cha national parliamentary group ndani ya state house, alikuwa anaonekana kuwa wazi kuhusiana na uongozi wa jubilee.

Rais Uhuru Kenyatta alitangaza kuwa atabadilisha uongozi wa chama Cha jubilee na huenda akatangaza nafasi yake atakayoichukua mwaka wa 2020 na pia mrithi wake kisiasa.

Ni miaka tatu sasa imepita kabla hakujakuwa na mkutano wa jubilee. Mkutano wa mwisho kufanyika ilikuwa mwaka wa 2017. Mkutano wa juzi, rais Uhuru Kenyatta alionekana kufanya uamuzi na Kulingana na aliyoyaongea, naibu wa rais, William Ruto hana nafasi kwa chama Cha jubilee. Kama unakumbuka katika campaign yao hapo awali.

Wanasiasa watano waliohudhuria mkutano waliweza kusema kuwa rais Uhuru Kenyatta aliweza kusema lazima chama iwe na nidhamu na yoyote yule utakiuka Sheria za chama itabidi atolewe kwa chama.

No Alfred keter ambaye ni MP wa Nandi alisema naibu wa rais William Ruto anafaa kujilaumu mwenyewe kwani yanaondelea ni kwa sababu yake na wafuasi wake. Keter aliwalaumu akina Murkomen, Aden Duale, Oscar sudis na kimani ngunjiri kwani wanajiharibia wenyewe.

Soma hii pia ( utajiri wa Ruto)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *