Kanisa tajiri duniani
Kanisa tajiri duniani zipo nyingi ikizingatiwa kuwa waumini hujitokeza zaidi kwa kutoa sadaka. Kuna Kanisa ukienda Ni lazima utoe kiwango flani Cha pesa.
Katoliki ni mojawapo ya Kanisa tajiri duniani Ila orodha inaonekana kuongezeka kwani Kuna Kanisa zaidi zinazoenekana kuwa na hela nyingi
Kumbuka pia Kuna ile asilimia kumi yenye waumini huhitajika kutoa kila mwaka ama hata kila mwezi. Ifuatayo Ni orodha ya Kanisa tajiri duniani
RICHEST CHURCHES IN THE WORLD:
1- Church of Jesus Christ of Latter-Day Saints- $67.0 billon
2- Catholic Church – $30 billion +
3- Catholic Church Australia- $20.9 billion
4- Catholic Church Germany- $25.0 billion
5-Church of England $7.8 billion
6-Opus Dei (part of the Catholic Church) Italy- $2.8 billon
7-Church of Scientology- $2.0 billon
Soma pia ( ndoto za nyoka na maana yake)