Wahubiri wakubwa duniani
Kuna wahubiri wengi duniani Ila orodha hii inahusu Wahubiri wakubwa duniani. Wahubiri hawa Wana hela nyingi na huogopewa sana.
Cha kushangaza Ni kuwa wahubiri wa injili wenye pesa nyingi huwa Ni weusi. Kumbuka Kanisa kubwa Ni katoliki Ila Cha kushangaza Ni kuwa, kwenye orodha ya wahubiri wakubwa duniani na wenye hela nyingi, Kanisa katoliki haipo.
Tazama orodha ya Wahubiri wakubwa duniani na wenye pesa nyingi

1 Bishop Oyedepo – $150 Million
2 Bishop TD Jakes – $147 Million
3 Pastor Chris Oyakhilome – $50 Million

4 Pastor Benny Hinn – $42 Million
5 Pastor Adeboye – $39 Million
6 Pastor Creflo Dollar – $27 Million (He used to be #1)
7 Pastor Kenneth Copeland – $25 Million

8 Evangelist Billy Graham – $25 Million
9 Prophet TB Joshua – $10 Million
10 Pastor Joseph Prince – $5 Million
Soma hii pia ( makanisa tajiri duniani)