Mziki

Yanga | Harmonize

Yanga | Harmonize ni nyimbo inayoonekana kusifia klabu ya yanga. Hii ni baada ya Diamond Platnumz kuachia nyimbo yake “Simba” inayosifia club ya Simba.

Wawili hawa wamekuwa kwa ushindani mkubwa tangu harmonize ajitoe wasafi na kuanzisha label yake konde gang. Ukiiskiza nyimbo hizi mbili kwa makini; Yanga | Harmonize na Simba yake Diamond, utagundua kuwa muundo uko Kama wafanana vile.

Sijui harmonize alifikiria aje kutumia mdundo unaofanana na alioutumia Diamond Platnumz. Kama hujaipata Yanga | Harmonize, skiza kwa Mara ya kwanza hapa mwangaza news.

Skiza hii pia ( Simba – Diamond Platnumz)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *