MaishaAfya

Kenya yapokea chanjo ya coronavirus

Huenda Vita dhidi ya coronavirus zikachukua mwelekeo mpya kwani zaidi ya chanjo 1.02 million aina ya Oxford/Astrazeneca zimefika nchini kenya.

coronavirus vaccine Oxford/Astrazeneca

Waziri wa afya nchini kenya bwana mutahi kagwe alitangaza hayo siku ya jumatatu. Waziri kagwe aliongeza kuwa hiyo ni bunch ya kwanza kwani wanatarajia chanjo 4.1 million. Mipango ya wizara ya afya ni kupokea chanjo 24 million mwakani.

Wenye wataanza kupata chanjo hii ni wafanyikazi wa afya county zote arobaini na saba. Hii ni kwa sababu hao ndio wenye wako kwa hatari ya kuambukizwa virusi vya corona.

covid-19 vaccine kenya

Wengine watakaopata dose ya kwanza ni pamoja na waalimu na washika doria. Kwa Sasa wakenya wanaonekana kusahau adhari za coronavirus kwani siku hizi wanasiasa wanaandaa mikutano ya kisiasa na utapata wakenya wamejazana bila kuzingatia sheria zilizowekwa na wizara ya afya kuhusiana na corona.

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *