Maisha

Kamene Goro anatafuta mwanaume wa kumuoa

Kamene Goro ametangaza kuwa yupo tayari kuolewa na saa hii anatafuta bwana atakayemuoa. Alitangaza haya kwenye radio wakiwa pamoja na Jalang’o

Swali ni, je kamene Goro anataka kuolewa kweli ama anaona miaka yaenda. Kusema kweli mwanamke huyu ana sura ya kupendeza japo uzani wake huenda ukazuia wanaume wengi kumfuata. Pia umri wake umeenda sana na kupata mtu atakayehitaji mwanamke mwenye umri wake umeenda sana itakuwa vigumu zaidi.

Kwa sasa ametangaza wazi anatafuta mwanaume ambaye angependa kufunga naye pingu za maisha. Kwa sasa tunangoja wanaume watakao jitokeza ili kumchukua kamene Goro.

Kamene Goro ashakuwa kwenye uhusiano lakini haichukua mda kwani waliachana na kila mtu akafuata shughuli zake. Hii inamaanisha kama ni kuachwa ashazoea japo imechukua mda kuwa ndani ya uhusiano mpya Ina maana mwenye alikuwa naye alimuumiza sana.

kameme Goro age

Kulingana na yeye, kama uhusiano hauendi popote basi afadhali kila mtu ashike njia zake badala ya kufariki kwa mawazo. Hapa mwangaza news tunamtakia kamene Goro mwanaume mzuri atakayempenda.

Soma hii ( mwanamke amchinja mwanawe)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *