Youtube videosMzikiSanaa

Khaligraph jones X Sarkodie – Wavy

Khaligraph jones X Sarkodie – Wavy ni nyimbo mpya aina ya rap ama ukipenda michano. Ni colabo ya msanii kutoka kenya ambaye ni khaligraph jones na msanii kutoka nigeria kwa jina Sarkodie.

Nyimbo ya wawili Hawa, Khaligraph jones X Sarkodie – Wavy imekuwa ikingojewa kwa hamu sana kwani khaligraph alikuwa ashatangaza kwenye mitandao kuwa ako na colabo na Sarkodie. Wengi wamepokea kazi hii vizuri huku wakimsifia khaligraph kwa kuweza kuwakilisha vizuri nchi yake kwenye hiyo colabo.

(Tazama hii pia ( otile Brown X Alikiba)

Video hii pia kutayarishaji wake ni wa hali ya juu na tunaweza sema zoezi nzima imekamilika vilivyo kuanzia audio mpaka video. Kwa Mara ya kwanza tazama Khaligraph jones X Sarkodie – Wavy hapa mwangaza kwa kubonyeza link ifuatayo

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *