Otile Brown X Alikiba – In love
Otile Brown X Alikiba – In love ni video mpya ambayo kwa sasa inatesa anga. Video hii ni wakali wawili kutoka nchi tofauti za africa mashariki ikiwemo kenya na Tanzania.
Wawili Hawa wanajulikana sana kwa nyimbo zao za mahaba na kusema kweli Kila nyimbo mmoja wao anaachilia huwa hit.
Tazama hii pia ( darasa ft. Alikiba – proud of you)
Kwa Mara ya kwanza tazama Otile Brown X Alikiba – In love official video. Usisahau ku share kama itakufurahisha. Zidi kutegea tovuti yetu ya mwangazanews ili tuweze kukujuza mengi kama yanavyotufikia.
1,679 total views, 1 views today