Darasa ft. Alikiba – proud of you
Darasa ft. Alikiba – proud of you ni kifaa kipya ndani ya youtube. Video yenyewe ni ya Hali ya juu kwani quality yake imeenda shule.
Muungano wao umeleta ladha tofauti na kazi hii huenda ikakaa masikioni mwa watu kwa mda mrefu. Kumbuka darasa ameachia album yake mpya na kwenye hiyo album amewashirikisha wasanii. Mbalimbali.
Soma hii pia ( orodha ya wasanii tajiri tanzania)
Kwa Mara ya kwanza tazama Darasa ft. Alikiba – proud of you hapa mwangaza
1,896 total views, 2 views today