MzikiSanaaYoutube videos

Lavalava ft. Diamond platnumz – Bado sana

Lavalava ft. Diamond platnumz – Bado sana ndio taarifa ya mjini. Colabo hii imekuja mda mfupi baada ya lavalava kudai kuwa management yake haimchukulii kama wale wengine. Labda colabo hii ni ya kuvuta machozi msanii huyu

Tazama hii pia ( darasa ft. Alikiba)

Video ya Lavalava ft. Diamond platnumz – Bado sana imefanyiwa mtaani na tuseme ubunifu wake uko juu sana. Kama kawaida kenny ambaye amekuwa akiongoza video za wasafi anazidi kuumiza akili zaidi na kazi anayoifanya inakubalika.

Kea sasa Lavalava ft. Diamond platnumz – Bado sana inazidi kupata utazamaji mkubwa ndani ya mitandao kama vile youtube.

Kama utakuwa hujaitazama basi chukua mda wako kuitazama hapa mwangaza kea Mara ya kwanza

 

 

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *