Youtube videosMzikiSanaa

Stamina ft. Professor Jay & One Six – Baba

Stamina ft. Professor Jay & One Six – Baba ni video mpya ilioachiliwa leo na gwiji wawili wa hip-hop nchini Tanzania. Stamina ni msanii ambaye ni mkali sana ikija ni nyimbo za michano ama ukipenda hip-hop. Mara nyingi stamina hufanya project na Roma mkatoliki na kazi zao zimeenea kila mahali.

‘Baba’ ambayo ni nyimbo yao mpya inaongelea kuhusu watoto wanaolaumu baba yao kwa malezi ya Hali ya chini kwenye familia. Stamina anaonekana akilaumu babake ambaye kwa hii nyimbo ni professor Jay kwa kutompeleka shule na pia kwa maisha yao duni.

Stamina ft. Professor Jay & One Six – Baba imeongozwa vizuri sana na video inaelezea kila kitu. Professor Jay aling’atulia kwenye kiti Cha ubunge na sasa anaonekana kurudi kwenye game ya mziki

Kwa Mara ya kwanza tazama Stamina ft. Professor Jay & One Six РBaba  video kwa kubonyeza hapa chini. Zidi kutegea habari zetu hapa mwangaza news.

Soma hii pia ( uhusiano wa Tanasha na diamond wachukua mkondo mpya)

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *