Youtube videosMziki

Killy X Harmonize – Ni Wewe (Official Music Video)

Baada ya kungoja kwa mda mrefu, ni wewe yake Killy pamoja na harmonize imeachiwa video. Killy X Harmonize – Ni Wewe video imefanyika kwa kuzingatia mavazi yaliyokuwa yakitumika hapo zamani na ni video inayokaa vizuri kama wengi walivyokuwa wakitegemea.

Killy amekuwa kimya na baada ya kuachia ni wewe hajaachia nyimbo nyingine. Video ya ni wewe yake Killy na harmonize huenda ikamsaidia sana Killy kwani audio yenyewe ilikuwa tayari ishajulikana. Ili kuitazama Killy X Harmonize – Ni Wewe Official Music Video, bonyeza link ifuatayo.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *