InternationalMzikiYoutube videos

Ruger – Snapchat | Video

Baada ya kutaamba na nyimbo yake Dior, Ruger ameachia kibao kipya kwa jina Snapchat. Ruger – Snapchat ipo tayari na video yake pia unaweza ukaitazama hapa mwangaza news.

Ruger ni msanii kutoka Nigeria na amejulikana kwa mda mfupi sana hii Ina maana kazi anayoifanya ni Kazi nzuri na wengi wanamuelewa vizuri. Ili kutazama video ya Ruger – Snapchat, bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *