Youtube videosMziki

Rayvanny – Rara | Video

Rayvanny – Rara ndio Kazi mpya. Ni hivi majuzi imesemekana kwamba Rayvanny ako tayari kutoka wasafi kabisa na aanze kushughulikia mziki wake bila usaidizi wa boss wake ambaye ni diamond platnumz.

Rayvanny atakuwa msanii wa pili kuiacha label ya WCB kwani wa kwanza kutoka hiyo label alikuwa harmonize ambaye alianzisha label yake kwa jina konde Gang.

Ili kuitazama video ya Rayvanny – Rara, bonyeza link ilioko hapa chini uweze kupata burudani ya kukata na shoka.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *