MzikiSanaa

Audio | Killy X Harmonize – Ni wewe

Killy X Harmonize –  Ni wewe ndio habari ya mtaa. Kama umekuwa ukifuatilia mziki wa Konde Gang utakuwa una habari kwamba Killy anafanya Kazi na label ya Konde Gang.

Kumbuka hapo mwanzo Killy alikuwa anafanya Kazi na Alikiba wakiwa na wasanii wengine kadhaa. Nyimbo ya Killy mpya na harmonize ” Ni wewe” huenda ikawa kubwa zaidi.

Kwa Mara ya kwanza isikize Killy X Harmonize – Ni wewe hapahapa mwangaza news.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *