MzikiYoutube videos

Kusah – I Don’t Care | Video

Kusah – I Don’t Care  ndio mpango mzima. Kazi juu ya kazi ndio msemo anaoutumia kusah. Baada ya kuachia nyimbo yake ‘ I wish yenye ilifanya vizuri sana, Kusah ameachia Kazi mpya kwa jina ‘ I don’t care’.

Kusah anapata usaidizi mkubwa sana kutoka kwa Aunt Ezekiel mpenzi wake mpya. Ili kuitazama video ya Kusah – I Don’t Care, bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *