Mchipuko

Kwale, kilifi, Eastleigh na Mombasa old town washerehekea hotuba ya rais

Kwa mda sasa, sehemu hizi hazikuwa na uhuru wa kutembea ila rais Uhuru Kenyatta amewapunguzia makali ya kutotoka ndani ya sehemu hizo. Kwa sasa  Kwale, Kilifi, Mombasa oldtown na Eastleigh wanaweza toka.

Sehemu hizo watakuwa huru kutembea kuanzia jumapili tarehe saba saa kumi alfajiri.

Curfew ya kutotoka nje pia imerahishishwa. Hapo awali ilikuwa ni hatia ukipatikana nje Kati ya saa moja usiku na saa kumi na moja asubuhi. Kwa sasa mda umebadilishwa na kwa siku thelathini zijazo, mda wa kutotoka nje itakuwa kuanzia saa tatu usiku hadi saa kumi asubuhi.

kwale, Kilifi, Mombasa old town

Mombasa, Nairobi na mandera bado wembe ni uleule na na kwa siku thelathini zijazo watabakia kwa county zao.

Wakaazi wa Eastleigh na Mombasa old town watakuwa na uhuru sasa. Kumbuka walikuwa hawaruhusiwi kutoka nje ya mitaa yao ila kuanzia kesho saa kumi asubuhi watakuwa na uhuru tena

Soma hii ( Ukipatikana ukipeana barakoa utakamatwa)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *