Lava Lava – Ng’ari Ng’ari
Baada ya kimya Cha mda, Lavalava ameachia nyimbo mpya. Lava Lava – Ng’ari Ng’ari ndio habari ya mjini na ni nyimbo inayofanya vizuri sana kwa sasa.
Lavalava. Aliwahi kusema kwamba hapati sapoti kama wanavyopata wasanii wenzake pale wasafi ila bado anapambana.
Ili kuweza kuisikiza kazi ya Lava Lava – Ng’ari Ng’ari, bonyeza link ifuatayo na nakuhakishia kuwa utapa burudani ya kukata na shoka.