HistoriaMaisha

Mapenzi ya Rayvanny na Paula masanja yazidi kunoga

Rayvanny na Paula masanja wameonyesha wazi kwamba wako kwenye uhusiano wa kimapenzi. Wawili hawa wamekuwa wanaonekana pamoja kwa mda.

Juzi Rayvanny aliondoka na Paula masanja mpaka zanzibar kwa tamasha. Wawili hawa walionekana kuvaa sare za kufanana huku wameshikana mikono wakionyesha ishara ya mapenzi.

Rayvanny na Paula masanja

Hapo nyuma kulikuwa na ugomvi Kati ya Rayvanny na harmonize, harmonize akidai rayvanny anamharibia maisha Paula masanja kwa kumuingiza kwenye uhusiano wa kimapenzi. Harmonize alidai Paula masanja anafaa kukamilisha masomo yake mwanzo na chenye Rayvanny alikuwa anakifanya hakiruhisiwi kwa jamii.

Baadae ilijulikana kwamba bali na kuwa kwenye uhusiano na kajala, harmonize pia alikuwa na uhusiano na mwanawe kajala almaarufu Paula masanja. Cha ajabu ni kwamba harmonize alikuwa anamtongoza Paula akijua wazi ako kwa uhusiano na mamake.

Kwa sasa Rayvanny ameamua kumalizia chenye alianzisha na huenda harusi ikafanyika hivi karibuni. Harmonize itabidi atazame kwa mbali kwani yaonekana Rayvanny harudi nyuma.

Rayvanny na fahyma
Rayvanny na fahyma

Hapa mwangaza news tunangojea mwaliko wa harusi ya Rayvanny na Paula masanja kwani inaonekana fahyma hana nafasi tena kwa Rayvanny na nafasi yake ni kama imechukuliwa na Paula masanja.

Soma hii pia : Historia ya harmonize

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *