Rayvanny Guchi – Sweet | Video | Mp3
Rayvanny Guchi – Sweet ni nyimbo iliyoachiliwa siku kadhaa zilizopita Ila video yake ilikuwa bado. Guchi ni msanii kutoka Nigeria na alisema mwenyewe alikuwa yuapenda nyimbo za Rayvanny hata kabla hawajaonana.
Rayvanny Guchi – Sweet ni nyimbo ambayo inapendwa zaidi afrika hata juzi Rayvanny alipo perform Zanzibar, mafans walionekana kufurahia sana. Guchi alisema nyimbo ya Rayvanny anayoipenda sana ni, ‘Number one ” ambayo ilikuwa colabo na Zuchu.
Kwa Mara ya kwanza tazama video ya Rayvanny Guchi – Sweet hapa mwangaza kwa kufuatilia link ifuatayo
Mp3 download link ( sweet – Rayvanny ft Guchi)
5,540 total views, 2 views today