AfyaMchipuko

Mercy Awino aomba msaada kwa wana kilimani mums . soma hapa kwa mengi zaidi

Mercy Awino amejitokeza kiwaziwazi na kuwaomba washirika wa kilimani mums kuweza kumsaidia. Mercy Awino ana ungua ugonjwa wa saratani na anaomba wasamalia wema waweze kumsaidia kwani matitabu anayoyapitia yanahitaji pesa nyingi.

Mercy ambaye ana umri wa miaka ishirini na nane amesema alijulikana ako na saratani mwezi wa pili mwaka huu. Kwa sasa matibabu yake aina ya chemotherapy yanafanyiwa hospitali ya kenyatta na ameomba wakenya waweze kumsaidia na kusimama naye kwani peke yake hawezi.

Mercy Awino

Mwana dada huyu alisema Kwake yeye hatakubali kushindwa na angependa kuishi ili aweze kuwalea watoto wake. Shughuli ya chemotherapy inataka moyo na pia hela nyingi hutumika. Mercy awino anaamini atapona kwa Nguvu za mwenyezi mungu kwani wengi washawahi kuwa na saratani na wakapona.

Kama unaweza kuwa na msaada wowote, Mercy Awino ameweza kuweka wazi account zake. Ili kumchangia, tazama maelezo hapa chini, Pia unaweza wasiliana na yeye moja kwa moja ukitumia number yake aliyoiweka wazi.

Unaweza pia ukafanya kama una share post hii ili mwingine aweze kumsaidia baada ya kuupokea ujumbe huu.

mercy Awino Kilimani Mums

Soma hii pia ( zaidi ya kesi 123 za corona kwa mda wa 24hrs )

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *