Mziki

Harmonize – Falling in Love (Official music video)

Falling in Love, ni video mpya ya harmonize ilioachiwa juzi. Kwa sasa ipo katika topten ndani ya youtube na mashabiki wanaoenekana kuikubali zaidi. Harmonize ametumia lugha ya kizungu ina maana hii nyimbo inaeleweka kimataifa. ( Harmonize – Falling in Love )

Mwanadada alioko ndani ya ile video ya Harmonize – Falling in Love anaonekana sio mwafrika na tuseme Harmonize ameaumua kuenda international. Kumbuka Harmonize alijitoa Wasafi inayomilikiwa na diamond platnumz. Baada ya kutoka, Harmonize anaonekana kutorudi nyuma na anaachia kazi baada ya Kazi.

Hivi majuzi alimtambulisha msanii wake kwa jina ibraah ambaye pia ni moto wa kuotea mbali. Harmonize anasemekana kuwa na utajiri unaokaribia utajiri wa diamond platnumz na wasanii hawa wawili wanaonekana kuuchukulia mziki kama biashara.

Tazama video yake Harmonize – Falling in Love kwa mara ya kwanza hapa mwangaza news kwa kubofya link ifuatayo

Harmonize – Falling in Love

Pia unaweza kuitazama video yake Ibraah – one night stand)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *