Mfahamu zaidi Millard Ayo
Millard Ayo ni mzaliwa wa Arusha nchini Tanzania. Ni mwana habari na mwandishi. Alizaliwa mwaka wa 1986 tarahe ishirini na sita mwezi wa januari. Anafanya kazi yake ya utangazaji katika kituo kimoja cha radio ya Clouds F.M kwa kipindi cha Amplifier. Umaarufu wake ulianza alipojiunga na Radio one/ITV mwaka wa 2008. Baada ya kufanya kazi pale kwa miaka miwili, gwiji huyu alihamia Clouds F.M mwaka wa 2010. Bingwa huyu anamiliki tovuti ya millardayo.com inayofanya vizuri nchini tanzania na bara afrika kwa jumla.
Ayo Tv youtube channel
Ni youtube channel inayoongozwa na Millard Ayo. Channel hii hupata utazamaji mkubwa sana na wengi hutegemea hii channel yake kupata matokeo mbalimbali. Kwa sasa Ayo Tv youtube channel iko na subscribers 2.5milions huku video iliopata utazamaji mkubwa ikifikia views 12millions.
Soma hii pia ( Nyimbo Mpya ya Harmonize inayoonekana kulenga watu flani)
1,881 total views, 1 views today