MchipukoMziki

Nyimbo mpya ya Harmonize jeshi inalenga Nani?

Maswali ambayo kila mtu anajiuliza Ni je, Nyimbo mpya ya Harmonize jeshi inalenga Nani?

Baada ya kuachia audio nyimbo yake ya Jeshi, harmonize amefuatanisha na video yake juu kwa juu. Ukiiskiza nyimbo hii kwa makini utaelewa kuwa imelenga watu flani kwa sanaa ya mziki.

Harmonize anaanza kwa kuwashukuru wafuasi wake wa Instagram kwa vile wamekuwa wakimpongeza. Kulingana na harmonize, mashabiki wake wa Instagram wamefanya aongeze bidii.

Pia hajasahau Akina Rita waliomvunja moyo wakati ilikuwa Mara yake ya kwanza kuonyesha kipaji chake katika mashindano iliyoandaliwa nchini Tanzania.

Soma hii pia ( utajiri wa Diamond)

Kama unakumbuka vizuri kikosi hicho kilimtupia maneno harmonize huku wakidai Hana kipaji chochote na anafaa kuacha mziki. Harmonize kwa nyimbo yake mpya Jeshi amedai kwamba hao ndio walimuongeza hasira ya kufanya mziki.

Harmonize kwa Sasa amedai kuwa hashindani na yeyote na yeyote anayemtaka mashindano aje ashindane na Ibra. Ibra Ni msanii mpya wa konde gang kwa wale wasiomfahamu.

Soma hii pia ( wasanii bongo Freemasons)

Tazama hii video ya harmonize Jeshi hapa kwa Mara ya kwanza hapa

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *