Mike Tyson atoa zawadi ya dola elfu 20 kwa atakayeoa bintie
Bingwa wa ndondi Mike Tyson amewashutua wengi baada ya kutangaza kuwa ako tayari kulipa mwanaume yeyote atakayeoa bintie Michelle.
Mike Tyson alisema hayo huku akiongezea kuwa bintie Michelle ashafika umri wa kuolewa hivyo kutoa ruhusa kwa yeyote anayemtaka na zawadi ya hela juu yake.
Chenye hatuna uhakika nayo ni Kama huyu bingwa wa ndondi anamaanisha anachokisema ama anatia watu kwa majaribu. Bintie Michelle amefanana kabisa na babake. Sura ni ya babake na pia ana mwili mkubwa Kama babake. Labda wanaume wengi wanaogopa kumuoa kwa sababu ya unene wake.
Haya, wanaume kazi kweni Mshapewa mke, hakuna kumlipia mahari Ila walipwa wewe kwa kumuoa.
1,016 total views, 1 views today