AfyaMaisha

Uhuru aguzwa na barua ya Ethan macharia na kumlipia milioni 3 unusu ada ya hospitali

Eden macharia na mamake wamepata nafuu baada ya rais Uhuru Kenyatta kuwalipia Ada ya hospitali. Eden anafaa kufanyiwa upasuaji ili aweze kuregelea maisha yake ya kawaida.

Eden alipata ajali baada ya kuanguka chini akiwa nyumbani na kuumia mshipa wa kichwa. Mamake amekuwa akichangisha pesa kwa mda Ila hajawahi fanikiwa. Juzi Eden aliweza kuandikia Uhuru Kenyatta barua akiomba kusaidiwa na kwa bahati nzuri ilimfikia rais Uhuru Kenyatta.

Kwa Sasa Eden ataweza kusafirishwa nchini India kwa upasuaji utakao garimu milioni tatu na nusu. Tunaomba aweze kufanikiwa na Hilo tatizo liishe kabisa.

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *