Sanaa

Mtangazaji maarufu chigulu ahamia Radio Simba

Mtangazaji maarufu chigulu aliyekuwa pilipili F.M  amejiunga na Radio Simba. Chigulu alipoteza kazi yake baada ya kituo Cha pilipili Fm kubadilishwa jina na kuwa msenangu F.M

Kwa Sasa Chigulu ameanza kazi rasmi Radio Simba na huenda akawa na manufaa makubwa sana kwa Radio Simba kwa kuwa Ana wafuasi wengi sana wanaopenda anachokifanya.

Mashabiki wake wamefurahia sana habari hizo na Wana matumaini atazidi kuwapa burudani Kama ilivyo desturi yake. Hapa Mwangaza news tunamuombea mwenyezi mungu azidi kumfungulia njia zaidi.

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *