MzikiYoutube videos

Mtasubiri – Diamond platnumz ft. Zuchu

Mtasubiri – Diamond platnumz ft. Zuchu ni nyimbo mojawapo wa zile zipo kwa Ep mpya ya diamond platnumz. Ep hii mpya kwa jina first of all imekuwa ikingojewa kwa mda mrefu sana.

Kati ya wasanii walioko kwenye hii album ni pamoja na Mbosso, Jaywillz na wengineo. Ili kuisikiza nyimbo ya Mtasubiri – Diamond platnumz ft. Zuchu, bonyeza hapa chini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *