MaishaMchipuko

Mzee msiri Pete maisha magic aaga dunia

Mzee msiri Pete maisha magic aaga dunia: Habari zilizotufikia hivi sasa ni kwamba Gillie Owino ambaye alikuwa anaigiza kama mzee msiri kwenye tamthilia ya Pete amefariki. Kulingana na habari za hapa na pale, mzee huyo amefariki kutokana na ugonjwa wa saratani.

Mzee msiri Pete maisha magic aaga dunia

Amekuwa akiugua kwa mda. Jana tarehe 29 April 2021 mzee msiri alizidiwa na akalazwa premier hospital iliyoko nyali county mjini Mombasa. Leo tarehe 30 April mida ya mchana mzee msiri aliaga dunia. Ni mungu anapeana na pia ni yeye anapokea. Tutamkosa sana mzee msiri sanasana mashabiki wa tamthilia ya pwani.

Tazama post ya mzee msiri ya mwisho kwenye facebook account yake

Gillie Owino mzee msiri

Soma hii pia ( waigizaji wa Pete maisha magic na majina yao lakini)

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *