Ney wa Mitego – Go Baba yazua gumzo
Ney wa Mitego – Go Baba yazua gumzo mitandaoni na wengi wakafikiria huenda akawa kwa ule upande mwingine wa imani.
Ney wa Mitego ni msanii ambaye haogopi lolote na anajipa Uhuru wa kuongea chochote bila kuogopa hata serikali. Kwa mda amekuwa kimya lakini ameamua kuachia kibao kipya kwa jina Go Baba.
Swali wanaloliuliza kwenye mitandao ni kwamba, je huyu ney wa Mitego ameingia kwa chama Cha illuminati almaarufu freemason?
Hapa mwangaza hatuna taarifa kamili kuhusiana na haya madai ila kea sasa tazama Ney wa Mitego – Go Baba iliozua gumzo mitandaoni
Tazama hii pia ( bahati ft Prezzo)
3,957 total views, 1 views today