Bahati & Prezzo – Baby Boo
Bahati & Prezzo – Baby Boo imeachika leo. Ni nyimbo ya mapenzi na ushirikiano wa Hawa wasanii wawili umezaa matunda maana hii nyimbo imeanza kupenya kwenye vyombo vya habari na mitandao.
Prezzo amekuwa kimya kwa mda ila kwa sasa ameamua kuachia kazi japo kwa ushirikiano na bahati.
Kuna mda flani ilisemekana Prezzo ameanza biashara ya kuuza mboga. Baada ya uchunguzi wetu wa kina, timu yetu iligundua kuwa haikuwa kweli.
Bahati hivi majuzi alimwandikia rais Uhuru kenyatta barua akimuomba aifungue nchi sanasana sehemu za tamasha ili wasanii waweze kuendelea na burudani.
( Tazama hii pia – Diamond Platnumz ft Lavalava)
Kwa Mara ya kwanza tazama video mpya ya Bahati & Prezzo – Baby Boo
3,208 total views, 1 views today