Nipe yote – Nadia Mukami video
Nipe yote – Nadia Mukami video; Baada ya ku post kwenye instagram yake kuwa amepata mpenzi, kumbe yote ilikuwa kwa ajili ya video yake mpya kwa jina nipe yote.
Nadia Mukami alimueka mwanaume kwa status yake ya instagram huku akimpa sifa chemchem na kueleza uma mapenzi yake kwake. Wengi walifikiria labda Mda wa kutangaza mpenzi wake umefika kumbe sivyo.
Nipe yote – Nadia Mukami video imeachika na kwa sasa ipo kwenye youtube. Ni nyimbo nzuri iliyotayarishwa kwa ubora zaidi. Nadia Mukami amekuwa kwa sanaa kwa Mda sasa na tunaweza sema sanaa imemkubali kwani kila anapoachia nyimbo, inapata usikikizaji na utazamaji mkubwa sana.
Kwa Mara ya kwanza, tazama Nipe yote – Nadia Mukami video hapa mwangaza news.
Tazama hii pia : Komesha Lavalava