MzikiYoutube videos

Komesha Lavalava video

Komesha Lavalava video ndio habari ya mjini. Video hiyo Ina uvuto mkubwa kwani wanawake walioko pale wameifanya ipendeze zaidi. Ubora wa video hii ni wa hali ya juu na kusema kweli Kazi ilioyofanywa pale ni Kazi nzuri.

Lavalava new song

Lavalava amekuwa akilalamika kuhusiana na swala nzima la ku market nyimbo zake pale wasafi kwani anaona kana kwamba hapewi nafasi nzuri kama wasanii wenza. Hivi majuzi zuchu alijiunga na wasafi na kama umekuwa ukifuatilia utakubaliana nami kwamba marketing yake ni ya hali ya juu kuliko ya Lavalava.

Lavalava komesha

Yote tisa, kumi ni kwamba Lavalava anauwezo mkubwa na siku yake yaja na bilashaka atakuja tanua mpaka watu washangae. Kwa sasa tazama Komesha Lavalava video hapa mwangaza kwa Mara ya kwanza.

Soma hii : jinsi ya kufungua youtube channel ya kulipwa

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *