MzikiSanaa

Nyimbo mpya ya Masauti ft. Tanasha | Liar

Tanasha ameamua kuachia kazi mpya Masauti ft. Tanasha | Liar. Ni nyimbo iliyorekodiwa na producer Shirko. Shirko ni producer aliyekuwa akifanya kazi za kikundi cha yamoto Band na pia za Aslay baada ya Yamoto band kuvunjika. Pia producer shirko aliwahi kuhusika kwa album ya Diamond platnumz. Kwa sasa gwiji huyu apo mjini Mombasa nchini Kenya.

Masauti ft. Tanasha | Liar ni video iliyofanyiwa utayarishaji mjini Mombasa. Video hiyo imetayarishwa na Hanscana, Director anayetokea nchini tanzania. Tanasha na masauti wanaonekana kuelewa sana mziki na tunaweza sema Masauti ft. Tanasha | Liar itafanya vizuri tukizingatia wawili hawa wako na majina tayari kwenye sanaa.

Soma hii pia ( Mchumba mpya wa tanasha?)

Kuwa wa kwanza kuitazama hii kazi mpya Masauti ft. Tanasha | Liar

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *