Willy paul ft. Mejja Prakata
Willy paul ft. Mejja Prakata ni nyimbo mpya inayoenekana kufanyiwa kazi kubwa sana. Wawili hawa wana majina tajika na sio wengi waliofikiria wawili hao wangeshikana na kufanya colabo. Willy paul ft. Mejja Prakata imejazwa watoto wa kike wenye muonekano mzuri.
Mejja aliwahi kufanya colabo na Femi one “Utawezana” iliyofanya vizuri na hata kuleta maneno wengi wakidai Azziad ndiye aliyechangia pakubwa kufanya hiyo nyimbo ipenye zaidi. Femi one alikanusha madai hayo huku akisema “Utawezana” Ilikuwa tayari hit hata kabla ya Azziad ku post akicheza nyimbo kwa tiktok page yake.
Tazama Willy paul ft. Mejja Prakata kwa mara ya kwanza hapa mwangaza news kwa kuifuatilia link ifuatazo
Soma hii pia ( Nyimbo mpya ya tanasha na masauti)
1,123 total views, 1 views today