InternationalMchipuko

Pastor T.B Joshua wa Synagogue church Afariki dunia

Pastor T.B Joshua wa Synagogue church Afariki dunia.
Temitope Balogun Joshua mahubiri kutoka nchi ya Nigeria ambaye pia huhubiri kwa runinga ameaga dunia. Habari za kifo chake zimetangazwa na familia yake.

Pastor T.B Joshua ndiye mwanzilishi wa kanisa ya The synagogue, church of all nations ( SCOAN). Pastor Joshua aliaga dunia jumamosi jioni mda mfupi baada ya kukamilisha ibada kanisani. Amekufa akiwa na miaka 57.

Pastor T.B Joshua wa Synagogue church Afariki dunia

Chanzo Cha kifo chake bado hakijajulikana Ila mwili wake ushapelekwa kihifadhiwa katika chumba kwa kuhifadhi maiti. Mambo mengine yatafuata baadae.

Mr Joshua amekuwa mhubiri kwa miaka mingi na ako na wafuasi dunia nzima. Tv ya Emmanuel TV ndio hupeperusha mahubiri yake na ni tv kubwa sana nchini nigeria ambayo inapatikana dunia nzima kwa digital tv.

Mwaka wa 2014, kanisa lake lilikuwa likifanyiwa uchunguzi baada ya maporomoko iliyochangia vifo vya watu wengi na wengine kupata majeraha.

Safiri salama tutaonana baadae.

Soma hii pia historia ya Christina Shusho

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *