Sanaa

Kiwango Cha pesa alichotakiwa Rich mavoko kulipa diamond platnumz

Rich mavoko alipotoka wasafi, alihitajika kulipa zaidi ya milioni mia tana za kibongo ila Hilo hakufanya maana hakuwa na uwezo.

Dadake welncealaus dokii alieleza kuwa diamond platnumz alitaka alipwe milioni tano za kitanzania ndio aweze kuuvunja mkataba wake na label ya WCB (wasafi) ila walikataa.

Kutoka kwake ndani ya wasafi kulikuwa tofauti na alivyotoka harmonize kwani diamond platnumz na Rich mavoko walikorofishana wakati anatoka wasafi. Kulingana na Rich mavoko, hakuipenda contract yake na wasafi akidai ilikuwa ni zaidi ya dhuluma.

“Walitaka tuwalipe pesa mob, nikamwambia Diamond, no we can’t pay you. It was millions of money inalingana kama ya Harmonize. Nilimwambia pia Sallam (Diamond’s manager), you guys nendeni mkajipekue mjitazame tena, hicho kitu mnachokitaka, is it fair?” Dokii alisema

Wakati harmonize alikuwa yuatoka ndani ya wasafi, pia yeye alifaa kulipa kiasi flani Cha pesa ikabidi akauza nyumba zake tatu ili aweze kulipa.

Malipo haya yangemuzesha kumiliki kikamilifu zile nyimbo aliwahi kurekodi wakati akiwa chini wasafi (WCB).

Rich mavoko, ilibidi atafute msaada kwa Basata, chama kinachojihushisha na Sheria za mziki wa bongo waliowasaidia wawili hawa kupata suluhisho.

Rich mavoko aliondoka wasafi bila kulipa peni hata moja. Hatuna uhakika Kama bado anamiliki nyimbo alizofanya akiwa wasafi lakini huenda ikawa bado hizo nyimbo ni Mali ya wasafi.

Mavoko alijitoa wasafi mwaka wa 2018 miaka miwili baada ya kujitoa kwa king kaka empire. Juzi harmonize alimshauri mavoko aweze kujiunga na label yake konde gang ila yaonekana bado hajafanya maamuzi

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *