Sanaa

Wacha lizame – Nandy X Harmonize

Wacha lizame – Nandy X Harmonize ni video mpya yenye kwa sasa inapata utazamaji mkubwa sana ndani ya YouTube. Sio wengi walitegemea kwamba wawili hawa wangefanya kazi pamoja.

Colabo hii mpya, Wacha lizame – Nandy X Harmonize ni kazi iliyopangwa vizuri sana kuanzia audio mpaka video. Maneno yamepangwa vizuri na bila shaka hii ni kazi kubwa sana. Kwa sasa harmonize ako huru kufanya kazi na msanii anayemtaka sio Kama hapo mbeleni akiwa WCB

Tazama Wacha lizame – Nandy X Harmonize kwa Mara ya kwanza ndani ya mwangaza.

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *