Mchipuko

Picha za Nandy akiwa amevalia kiganga zazua gumzo

Picha za Nandy akiwa amevalia kiganga zimezua gumzo leo kwenye mitandao. Wengi hawajaelewa Nia ya hizo picha huku wengi wakiamini kuwa huenda anafanya video ya nyimbo yake mpya.

Nandy hajaongelea kuhusu hizo picha hadi sasa. Hivi majuzi Nandy alishambuliwa na Gigy money aliyedaisha kuwa Nandy ndiye chanzo Cha wasanii wengi wa kike kutofanya vizuri.

Gigy money
Gigy money kwenye ubora wake

Kulingana na Gigy money, haelewi Ni kwa Nini kila tamasha Nandy ndiye anayepata dili ya kupiga show ikizingatiwa Kuna wasanii wengi wa kike wanafanya vizuri nchini Tanzania.

Gigy money alidai kuwa Nandy huenda anatumia uganga kuweza kupata hizo dili. Je, Picha za Nandy akiwa amevalia kiganga huenda zikawa na ukweli aliousema Gigy money?

Hapa mwangaza news tunafuatilia na tukipata ripoti kamili tutakujuza

Soma hii pia ( uhusiano wa Zuchu na diamond platnumz)

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *