Youtube videosMziki

Raha – Arrow Bwoy X Nadia Mukami

Raha – Arrow Bwoy X Nadia Mukami ndio habari ya mjini na tuseme imekuwa imengojewa kwa hamu. Wawili hawa walianza kwa ku post picha huku wakidai wapenzi Ila mwisho wa siku tumejua kwamba ilikuwa nyimbo.

Kwa sasa imekuwa kaiwada, kabla Nadia Mukami kuachia nyimbo lazima ataanza na picha za kuonyesha matukio ya kimapenzi na mwanaume.

Kwa Mara ya kwanza, tazama video ya Raha – Arrow Bwoy X Nadia Mukami hapa mwangaza news.

Raha – Nadia Mukami x Arrow Bwoy ( download mp3 here)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *