Susumila ft. Nadia mukami | Chomeka | Video
Susumila ft. Nadia mukami | Chomeka Ni kazi iliyotayarishwa na producer Teddy B huku video ikiongozwa na Desks Torres. Watayarishaji hawa wawili Ni wakaazi wa Nairobi na kusema kweli kazi wameifanya vyema.

Susumila Ni msanii anayetokea pwani ya Kenya naye Nadia mukami anatokea Nairobi Kenya jiji kuu. Wawili hawa wanajulikana Kenya nzima na afrika mashariki kwa jumla. Susumila ana colabo na wasanii wa Tanzania Kama vile Ommy dimples, Lavalava na Mbosso. Msanii huyu hudhaminiwa na gavana wa Mombasa bwana Ali Hassan Joho.

Nadia mukami naye pia amefanya colabo na wasanii wengi wa Kenya na pia amewahi kufanya colabo na Mario ambaye ni msanii kutokea nchi ya Tanzania.
Susumila ft. Nadia mukami | Chomeka | Video imepokelewa vizuri katika mitandao na vyombo vya habari na kwa Sasa Ina trend pale YouTube.
Kwa kutazama hii kazi mpya ya susumila na Nadia mukami, bonyeza link ifuatayo
Tazama hii pia (nyimbo mpya ya diamond platnumz)