MaishaMchipuko

Mammito aacha watu vinywa wazi baada ya kuvalia bikini

Mammito aacha watu vinywa wazi baada ya kuvalia bikini. Mchekeshaji huyu alieka picha kwa page yake ya Instagram. Mammito kwa Sasa ako na ujauzito na kidogo amekuwa mafichoni hii ikiashiria kuwa mda wake wa kujifungua uko karibu.

Kwa mda sasa mammito ako kwenye uhusiano na Eddie Butita ambaye pia ni mchekeshaji pale Churchill show. Kumbuka Eddie Butita ndiye aliyeweka wazi kuwa mammito Ni mja mzito.

Inaonekana mammito anatamani mwili wake wa hapo awali ndio maana kwa Sasa ana post picha zake za hapo awali. Picha aliyo post kwenye Instagram page yake inaonekana aliipiga kabla hajakuwa mja mzito.

Kwenye hii picha ambayo aliieka tarehe ishirini na tisa August, mammito amekaa kwa kiti huku akiwa karibu na swimming pool¬† maandishi yake yakiwa, “Brown skin girl”

View this post on Instagram

Brown skin girl

A post shared by Mammito Eunice (@mammitoeunice) on

Wengi walionekana kuvutiwa na hii picha na walijaza comments zao huku wanaume wengi wakionekana kutamani mwili wa muigizaji huyu. Tatizo Ni kuwa kwa sasa hawawezi wakampata maana ashachukuliwa na hivi karibuni huenda kukafanyika bonge moja la harusi.

Baada ya comments za kila Aina, inaonekana kuna shabiki mmoja aliyemkasirisha mammito baada ya kudai anaoenyesha uchi wake  hadharani Mammito haikufurahia maneno hayo na ilibidi amjibu shabiki huyu na kumuuliza kwani alitaka aingie swimming pool na jumper.

mammito and her husband Butita
Mammito na Bwanake Eddie Butita

Soma hii pia (wasanii wa Kenya na mengi zaidi kuwahusu)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *